Album Cover Umoroto

Umoroto

Wakadinali

4

(Big beats Afriq)

Whozu Hmm Yeah!

Kama we ni mchizi magames ntakuplay

I′m so NY nakaa EA

Mjuniour am breeding hukaa LA

Masai na amedunga ma merel'

Na kutoka SA aliniuzianga mafaa LA

Don′t bother hii ni Wakadinali

Niite Don Munga Whozu mi ni nani?

Karao nilimtukana na ni ka-Turkana

Nilimbongesha kilami

Munga nawakana mwizi alitegwa

Buru ndani Burudani

Mtoto msichana Hannah Montana

Gwanja na miraa

Niliacha kuzifanya hizo madawa

Ma jaba na miraa

Choma boza Munga ma mchicha

Ati wako nichi wachawi wanajificha

Nimetoka Umoroto kuwajibika

Hata kukinyesha mi hubuy-ia mjuniour ma criba

Balaa, baba! Umeshiba?

Na ujue mi silei Osama

Usiwai enda kuiba

Sanse walikuja na Mazda

Idhaa flani nikikunywa chwada

Za ovyo tu kunihadaa

Ati ju ya handas utalala mada

Saa hizo niko madawa maduya

Mtadu what?

Vitu wanadu tuna-boo

Wanabuya wanagwaya

Still am living my dream

Nataka Benzo na Beamer

What you talking naniii

Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima

Kama sikuchoti mamii

Risto za free-ride hakuna

Ni nani? Ni nani?

Huh, Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh

Alitaka niingiwe marungu, wapi ju informer aliua nyungu

Tulimchunguch nugu tulimuonea 18 kiu Mungu Mungu

Mkate ikatwe nusu nusu biz legit tukiwa mi na Whozu

Na ni kuuliza tu BBI, Corona inatuhusu?

Hatu-pose hata kama ni kwa picha

Na hatudoze masaa si hupitisha

On toes ju hamwezi tupita

Na mmekimia hamwezi lilisha

Slaves design ya Lupita

12-years Inda ju ya kuiva

Baze usikam ka umepiga

Unaeza rudi jakdes bila

Sijamunch tangu late March

Siwezi fight-ia system corrupt

Na usifuss ka huwezi punch

Nchi zingine pia wao ni mraa

Nyako ulimtoa kwa baa

Mali fisa nilianua reserve

Nakustuka una gun

Haimaanishi uingie round ku-snatch

Kuna time nilikuwa kwa crowd

Na kuna time niligeuzwa Steven

RIP my partner in crime

Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi

Sai niko exile pon di way

On the road to mtini

RIP my partner in crime

Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi

Still am living my dream

Nataka Benzo na Bima

What you talking naniii

Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima

Kama sikuchoti mamii

Risto za free-ride hakuna

Ni nani? Ni nani?

Huh, Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh

For real, yoh, nimetoka keja tena uh

Back in the streets ducking police nitakuwa mteja tena

Chini matick Patek Philippe sijui ningeongezea mbwenya

Huyo mtoto huscream ye hupenda hii stick but ye huwanga shy kusema

Bitch umerudi cyber tena

Mi Dosh na si wa side za Tena

Ah bro bro ashaingia chamber

Cheki hizo side za pienga

Pull up kwa ndae na deng'a bitch dunga hio MPESA tena

Yoh nini inaryhme na error oh, mi siwezi smile na hater

Ukitaka unapewa sahii, tukitoka ni Best I leanse

Hatuzozi na wasee hawasaidii

Eastlands said they know me I said for real

Nina mbogi just me and my Gees

Jaza pori ju mi huwanga biz

Slowly slowly I go man knees

You fuck with my homies you fuckingwith me

For real

Mi huwanga lyrical

Nina denga I had to leave it on

New iPhone to write my lyrics on

Chwadi bugazzi, jaba digital

Macho ni indigo, drama ni mingi jo

Mambeina leave me alone

Hashtag easy o...

Still am living my dream

Nataka Benzo na Bima

What you talking naniii

Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima

Kama sikuchoti mamii

Risto za free-ride hakuna

Ni nani? Ni nani?

Huh, Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh

Nimetoka Umoroto tena

Kusakia wifey na mjuniour dema, uh

Nimetoka Umoroto tena

Nikiingia keja njumu inatepa, uh