Album Cover Singefanikiwa

Singefanikiwa

Wakadinali

3

Eya, Eya, Eya

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia

Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Yo yo yo, yo yo yo

Hatudai utiaji joh hatudai urazi

Hatujali ka we tas ama mzazi

Hatuko ithaa ya hio ganja ama mgazi

(Yo, yo, yo, yo, yo)

Tuko ithaa tu ya ganji

Ingia kwa M-Pesa toa pesa patia Essence

Diamonds si huvuna tukiwa na pressure

Addictive design tuko chini ya brown ka desert

Naskia Sand-Sand-Sandy anataka tressure

Silence ndo the best treatment

After show mi hudancigi my way to the githe

Yahoo boyz hufika my bei thanks to mnite

Msistren anataka nidiste ju ya mnithe

Na live na hope ni ka niko Kamiti ju ya dope

Wakatoliki naskia wanapraisingi Pope

Mi nko huku chini joh naget high on coke

Popote pahali nmefika na give thanks to God

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia

Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Kaa unadigi mtu wangu, I gotta go grind

Siezi show ndoto zangu bigi to a small mind

Wow, pesa pombe siasa wanawake siezi overcome

Story za mkopo fuliza ndo habit nimeshindwa ku overcome

Zing riu mtaani kayo umetiach

Zoza ngiri shingili raz come nikuteach

Wacha wash wash husband dishwasher

Wacha, mi ni mrazi, ah nilimuacha

Wife yangu life poa, posh anaitwa Posher

Life yangu Doch, tunashangaa hawa vijanaa

Mnatueka kwa crisis, tunacry sis

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia

Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Usijifanye unanijua nakuvibe

Hao majamaa wakituma masiwa tunakuchai

Si wengi ni fewer walikubali

Ulikuwa na mimi nikiwa chini we jua ninakumind

Otherwise tuko zero degrees here

Chemsha bongo ni maombitho na riz pia

Nyi′ hubonga matope hio ndio reason mi hujiskia

Mangwai high content ndio najiskizia this year

Nikitosheka hio ni bliss nasema "Bismillah"

Nikilala nakumiss ama namiss miraa

Tulianza na kiss saii ye ni kisiran'

Hakuna kitu mumemiss yenye mi sina

Sikudhani ingehappen

Especially after kuambiwa usanii haina something

Mi niko kazi yo, we be camping

VOM ma mat kwa rodi they be bumping

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa pia

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa pia

Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa

Izeka Jah Jah, sikudhani ningefanikiwa

Ilikuwa kidogo nishalose hope

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Sikudhani yakwamba ningefanikiwa

Ninge—, Ningefanikiwa pia