Album Cover Mc Mca

Mc Mca

Wakadinali

4

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

Screen yangu bado ni JVC

Old school blood mi huona KBC

Kichwa mbaya Sewer siskii

Watu wa CBC unaweza tuita Gen-Z (Gen-Z)

Same thing shit still never change

Bado MVP tukimalizanga game

Sioni haya zetu zikikanashi

Mi ndio VIP kwa show zote mna-attend

JYK ukituona jiekee

Jeshi ya B imekam kuharibu South C

Barricade kuna wale wana AK

Jeshi ya D imekam kuharibu South B

AV ukidai tuchome scene

Tutachoma picha ju hatunanga ID

MP hajawai skia our plea

Mara IEBC vitu ata haitusaidii

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

Yo, ni ka mi ndio niliwaletea corona

Wanabonga very bad, loud hao ma hater mthii

Snake kula coner

Sababu shit zao mi huzionyesha rogue ′n C

Nikitaka peng labda Nikita Kering'

Lupita haniezi labda akitaka ring

Ju nikuficha ring tukido ma featuring

Sprite, lean na ni codeine

Dry gin nayo nicotine

"Hi, honey I′m home"

Nazikindaga ka 10 magithecha

Since kindergarten nadaingi Kim Kardashian

Mombasa, Naivasha ama nikupeleke Rodheshia

Ama Dar mpaka Moro

Acha ni earn nikuwai goro

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

Yo, this year niko fully loaded

MCA mbele ya wasee sikuli gode

Sichoose kazi jo uchumi ngori

Usiulize nafanya nini niko shughuli zote

Usimess na hii shit ni deep

Dem yako sikumdishi nilim-pimp

Purura windows ni tint

Karao anachunguza nini hiyo inastink

Brejin? How're you behaving

Ksm vitu tulifanya airbnb

Mc wenu bado mcm

That's why they can′t compare me and them

Ju ya charts kama VOM

Ju ya cash uone violence

Niliuliza matha land ama ubuy-iwe benz

Kovu on demand warazi wanatense

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb

MC still MCA

USA, Usb na ka charger type c

Character yangu imedevelop vibaya

ADHD ndani ya Airbnb