Album Cover Geri Inengi

Geri Inengi

Wakadinali

4

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaaSubaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na ki nini

Ki tururdudu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Alikam na ki nini

Ki turududu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Na imejaa

Kibuguduguboom my guy hi si toy

Ziwa hurush na mi najienjoy

Tuliwabumbrush H Kiamaiko

Buru clean na mi si boys

Sina jongo sina form sina cheda

Bila mbesha still ma Chargie walichuna

Ngeus una matress kwako sema form

Munga mjinga niko zone

Past curfew magizan niko busy

Shmady ting alikujia ma gizgiz

Am sorry ilidim, am sorry nimedim

Am sorry ilidim am sorry imedim

Am sorry ah ah aiih

Subaru inakam na mambaru wame chrome

Zaidi ya mzinga na zile vitu Rong

Munga Sirbwoy hepa chuom na imepong

Digitali jaba kali shikisha na dosh

Maisha posh na maombre wa pale canaan coach

Taxin na ma ghegho za ugoro zinawaka shinda torch za ma gwoch

Idhaa ni mbaya lola mbota lola watch ye ye

Kwa hii darasa mi ndio mi ndio coach

Zimewaka zimeliet zimemuoch

Mbare ya gatheshe hatuna kasheshe

Maybe tudhiokore na tukufanyage patient

Boom boom ye ye ye ye ye Boom

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na ki nini

Ki tururdudu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Alikam na ki nini

Ki turududu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Zi umshika za ki white boy

Akiwa maduya riomo ana cock toy

Hicho ki dyura isikufanye uingie kwa soil

Bro na ki durag udungwa ana rock mboi

Boy

Hatuitishi ruhusa kuguza

Tuaishi nchi rais utundura

Na ukisnitch juu ya clique unasundwa

Shokde Lee tunakam kuchunguza

UMBWA

Cock the ting ka umekam kutunyuria

Finger imekwama kwa trigger unabuya

Usicome ukiwa steam ka hautaki kupanguzwa

Ni genje njege walikam kuwatuma

Ah

Alikam na Kidududum Dum

Kama hauamini unaeza Google um

Sa izo jaba ni maini na kindukulu

Walifanya zote zishuke chini Pungulu PU

Ati Scar de amechange

Ati scar de amechange

Kwani una expect nini fadhe akiku bless

Ni ma Pu pu Bitch nigga muanze kuvaa vest

Cheki Dosh Dosh hakuna haraka manze tuwapeleke Mos Mos

Chunga usipate baraka waseme ni washwash

Ki Huh huh kilifanya utoe kila kitu kwa mbosho

Ma Twa twa msupa wako akipewa kiboko

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Cheki fala amekam na amezubaa

Na anacheki ati subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Subaru ya mambaru imekam na imejaa

Alikam na ki nini

Ki tururdudu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Alikam na ki nini

Ki turududu

Kam na ki nini

Kibuguduguboom

Kam na kinini

Ki shsh, ki mhmh, ki haha

Na Imejaa