Album Cover Avoid Those People

Avoid Those People

Wakadinali

3

Track "Wakadinali"

On Bandsintown

(Ayo Chino you again?)

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Kuna msee aliuza pena ju alipura

Tunauza nyama ya paka kwa mtura

Naziuza mimi na Bena bado tunapurura

Ati niaje Dosh anaroll na manzi na ni chura?

Niaje na ni Dosh tungempiga picha but alificha sura

Ndani ya pothole nilifall na ni juu ya chingri

We uko wapi na niko deng′a na si dikwara

Fuck it, fuck it nilifall in love na nigri

Usiwai toka mbesh Chege hio ni swara

Avoid those people nilijam sanse akahepa

Avoid those people Adam ningekuwa Matheri but hangependa

Avoid those people am cold in Nairobi still narowesa

Avoid those people kuna matha ninge-- kibeti but angeniita thegi

Ulikuwa unasema nini brathe, tumemuoket kukublaze blaze

Tuna sweeti tumerunda na bae, peremende zitakurunda ree

Sa hizo ka niko macho nyanya, alitry kunishika time ya Obama

Jump on them huko Burma walifanya wanakula nyama

Naibia Paul kulipa pita kuwashow vile kamare imeshika

Hao ni wa kuland walipotea tangu zile enzi za Greencard

Riomo ni deadman na anatembea kotko aligongewa

Last mile but execution huh, aliponea

Drunked master ki Mungas way, modafucker from yesterday

Badder si lazima dreads mi huchapa mpaka ananiita bae

Anadai ye hunionanga baze hajaijua mi ni mnyama bed

Si hutoka siaka mzee wakule vumbi si hatufiki bei

Quality haishuki infact usikuje na ideas ka hautoi tukis

Drillting kuna sisi wazee alafu kuna hao marookies

Yoh Doobie si watutupi kiasi kuna ukame si huwa hatushtuki

Jiji nyuma ya hizo buildings dad amekuona akapata shughli

Mode alishikwa kamoket hadi backbench kunusa vidole

Si huwasha maforeign every morning tukiendaga colle

Nikiwa madrugs mi hukeep it simple

Huwezi pata verse ka haujalipa depo

Pirate tulimtoka iPhone tukamwacha zero bila hata earphones

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Ushaibiwa na lighskin ukapata extra pressure

Ju rende ni ronger

Mrazi aliingia box nimpone hio mali na vile nimekonda

Mtaani ni genje coplo na geri wana different slogan

Slim alibambwa na bail ilitoka na boy akatoka

Tuesday morning nishawasha kishada prr ndio Munga anapiga

Ashaniingisha orosho bag ni thao

Saf wanashindwa mbona sijafuliza

Mi na mastar ni hotbox

Msela alidhani ni Maybach kumbe ni Probox

Tunatingisha Barley na Chrome kiHunters

Si unajua hii ni formal

Rende niliskia kuna msee anatisha mmh

Ju wakati imempita

Lakini naskia masocialites mboka ikiisha

Survival ni lazima

Nilikula mali ya Njoro

Ju Njoro alipiga makali akazima

Nilimpiga kiswahili ya mtaa

Mbro ya mmeru na sauti ya Alikiba

Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza

Rende ni ronger Bouti ni AD familia trap imefika

Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza

Rende ni ronger Bouti ni AD familia trap imefika

Eeh kwa majina ni Papa Fathela

Warazi hushtuka niaje nilipenya

Nikikafunga leo nasepa

Ambia hao wasoro I'm going till December

Mi ni Miracle baby

Nasema mokoro wa mi alishika mimba kwa kesha

Kuna msee alijifanya seller

Tukashika stock yote akatinga the wera

Kuna shugli haitakangi mbogi

Bado kifo haibishagi hodi

Nilichokanga na window shopping

Siku hizi wanalipa niwavalie clothing

Ni kapyenga kananichoma lips

Huwezi roll na sisi ju ulitrip

We si gwangi buda we ni bitch

Compe ni compe na compe ni stiff

Ah breakfast in bed na niko na sidechic

Raboni na stiwi inacarry

Henny nacop juu wikendi ni shwari

Shati Versace na imepigwa pasi

Tangu enzi za daycare

Nilikuwa natoka hawa watoi mabano

Walishindwa kunihandle ka sufuria moto

You know the boy be sturborn

Avoid mafala wamejaa

Ujinga ni ugonjwa wa kupona ni struggle

Nikipullup lazima utanotice

Mi huonekana kama Atwoli in purple

Na hii dunia ina mambo

Nikisota nakinda kid ni ng′ambo

Niko na TK bado top 3 kama jezi ya Carlos

Mi huroll incognito, jicho nyanya mfuko nzito

Madigaga ah za mbao ju mi huwa na avoid some people

Unafaa kujichunga wadingo na ma cargo huwanga za imbo

Makarao watapiga na pingu na do biz na machinku

Nairoberry kudiambo kwa traffic tinga mawindow

Kula rada tafuna ritho ama utameza marive

Promoter junkie mwenye show make sure amkudunga ka depo

Ati concert bila malipo ah ah na avoid hio risto

Unafaa ku aoid those people watakuwekea mchele kwa disco

Watakuingia mbosho ukishachemsha unafungwa chipo

Yule boy huwa snitch naskia ye ndo hunyoa info

Anajuana na mafivo ndio maana ye hutembeaga na pistol

Woh oh leo sitaki matembo niko maji kushinda Migingo

Itabidi nianze kudetox yaani kupunguza stingo

Waba imenifika shingo ndio kwa maana niko indoors

Natembea mtaa nikitiptoe, sshh na avoid those people

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Avoid those people

Wenye hawakusaidii hawawezi kukujenga

Avoid those people

Juzi nilipull na morio hadi sanse wakahepa

Avoid those people, avoid them

Cold Nairobi still narowesa

Avoid those people

Life ni bure survival ni lazima

Avoid those people vijana ka sisi

-- hutuavoid

Unachachisha na mamwiko

Maseska vidungi ziko kinena Udj hapa hakuna toy

Wikendi toja na olipo

Ketepa na njugu saa zile hakuna vurugu ni kujienjoy

Sinaga maneno na people

Elisha Elai toka kitambo

Ndio maanake I'm a simple boy

Hizo vitisho zenyu mi siingizi

Niko 20 na unaninyima usingizi

Ni 4:20 kila siku huku withii

Bila senti huku haupiti zii

Hapa ukicheza dondi pupupu

Nikipita wanageuka bubu

Ju mada hapa ni kama Elani kukuku

Way before kina Gidi already I was unbwogable

Itabidi mpunguze bonga mob

Ju mistari zenyu ziko terrible

Here we go extra pressure inazidi ju rende rong

Iko jiji inatesa tu kila zone

Hii riziki ya mziki itakuja call

Tunasaka money mpaka Senegal

Ka ni hater ni better uniavoid

Ju ni ngeta utakulwa ukipatwa boy

Wanateta tangu nianze leta voice

Ju nageuza marapper wakae watoi

Nakuja kijeshi, nikiroga wanadhani Vigetti

Tunasonga hakuna kusleki

Mi ndio thegi anasakwa Dando na Hessy

This time I tripple

Mi hufanya ukuwe cripple ka doggy nakuita na whistle

Avoid those people deng'a ndio whip

At people infact venye mi huleta vitisho

Ndani ya nganya mi hukuja kuwahanya

Mistari niliandika kama nimetoka hangdown

Venye rende ni rong mi hukam kuwashanda

Most definately after this ni matanga

Routes ni za panya hakuna choche utanikosa

Salute ju namute hao madem ju ya mboka

Mi hutaka hio doh ka Omollo nai conquer

Si acceptigi loss main goal ni kuomoka

Tangu lini uskie queen ana-argue na mboch

Of course mi ni boss nakanyaga ka roach

Niliruka kwa mbaru nikadara huyo popo

Nikamuacha akicheza na lotion

Mbleina kwa sisi tunachomanga picha

Ka santa natokaga usiku saa sita

Usiku na lila ile ikilala italika

Last victim kwa crime nilimwacha akiwika

Ka mtoi kwa crip nilikeeper

Hadi mchombez nilimuacha akijipa

Nikamshow after this ni kulipa

Underdog mi nawasmoke ka fog

Ka bulldog nawamaster ka log

We ni alog nakuombea kwa synagogue

Then nakuweka kwa dustbin kuflog

We ni monologue, ningedai alone

Siwezi share throne mi ni ka hog

Ka lapdog nawatuma kwa choo

Then natokea kwa scene ka snog

Man fck those people mi ukinicheki avoid me

Nikiwaga riko na kibro ni kifo

Lakini alidedi I′ll join him

Nina kilo kwa tiplo

Na ng′ango hatusleki we boiling

Mlishindaga Tiktok cheap talk

Na kila time tukikutana hambongi

Rong Rende ni vitimbi

Hater alionanga majogi

Huyu anakuwanga ni pimbi

Kwanza, kwanza nilimpora na dogi

Kile hunirudisha jiji

Ni kukula Nyama choma Nairobi

Mi nilipataga bibi kijana bado nakuona na mbogi

Baba unabonga na mabudeng' hapa lazma banga atakuja na mabunde

Bangaiz na bangi ju hanaku rieng

Jaba ikuwe inadi na andasu kuberr

Hii ni wazea na mabudeng

Wakiuliza ni jea najibu maberr

Natoka wera narudi kwa wera

Ni nini masela mnataka niwapee

Hatuwezi fanana just look at us

Huyo mama ananiramba na ananuka jasho

Chini ya maji undercover nikivuta gas

Na sisi hatujatupa rada ni kukula vako

We piga pang′ang'a tunakuja kwako

Kesho utanipata nimedunga chuja zako

We si gangsta ati ju umefuga ras

Na nikifika lawama si wanajua ni Narcos