Album Cover Wivu

Wivu

Platform Tz

3

Mwenye kisura cha upole

Rangi yake ya chocolee

Uzuri kampa mama ooh mama

Cheko lake kama vaileth

Kisura chake yani babay face

Ananichanganya anichanganyaa

Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye

Na ata ukizunguka uwezi mpataa kama yeye

Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye

Na ata ukizunguka uwezi mpata kama yeye

Mi nina wivu ooh wivu

My baby nina wivu ooh wivu

Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu

Ooh baby mi nina wivu ooh wivu

Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu

Ushaniweza jamani kama ni dozi unanipatia

Unafanya wakeshe ooh wakeshe macho wazi

Oh mambo yako wazi wazi wazi

Tuweke wazi kwawazazi

Milele tuishi wote mimi nawe my darling

Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye

Na ata ukizunguka uwezi mpataa kama yeye

Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye

Na ata ukizunguka uwezi mpata kama yeye

Mi nina wivu ooh wivu

My baby nina wivu ooh wivu

Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu

Ooh baby mi nina wivu ooh wivu

Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu

Lagu lain oleh Platform Tz