Album Cover Muite Yesu

Muite Yesu

Mercy Masika

4

Ah ah eh

Oh ow oh ow oh

(StillAlive)

"Hello, hello, habari yako?"

"Niko poa sana mimi, na bado niko"

Tunijibu "Ni poa" tukisalimiwa

Na ndani wengi wetu tunaumia

Picha mtandaoni, maisha bandia

Kwake Mungu hakuna kimejificha

Uko salama, kwake pekee yake

Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Uko salama, kwake pekee yake

Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite Baba leo (muite)

Muite Baba leo (muite)

Muite, usinyamaze (usinyamaze)

Muite Baba leo (muite)

Akupenda wewe (muite)

Akusikia leo (muite)

Usinyamaze, muite

Ah ah ah ah ah

Simama, shika we, shika neno

Ita na, Yesu atasikia

Mpe zote, shida zako, fikira

Aibu yote, yeye atatua

Uko salama, kwake pekee yake

Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Uko salama, kwake pekee yake

Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite (wachana na stress)

Muite (usijinyonge wewe)

Muite, usinyamaze muite (kwa shida zako we)

Muite (aibu zako we)

Muite (muite, we)

Usinyamaze, muite

Uko salama, kwake pekee yake

Mikononi mwake, usinyamaze, muite

Muite (itana we)

Muite (Ita Yesu we)

Muite, usinyamaze, muite

Atatua leo (muite)

Shida zako leo (muite)

Muite, usinyamaze mjite

Hasira zako, we (muite)

Depression, shindwa (muite)

Cancer ondoka! (Muite)

Muite, usinyamaze, muite

Familia yako (muite)

Katika jina la Yesu (muite)

Oh, muite, usinyamaze muite