Album Cover Unaniweza

Unaniweza

Jux

6

Abbah

Pindi ukicheka we, mi moyo unanitabasamuHuwa mwenye kujihisi mororo

Ila ukilia wee, hata kula nakosa hamu

Huwa mwenye kujihisi mdororo

Ukiwa karibu na mie, najiona bora

Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma

Uwepo wako we na mie, umetia fora

We ndio dakitari, darling, nikitaka kupona

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Sitamani mwingine, wala sidhani ka ataweza kutokea

Maana mambo yako moto moto, moto

Labda upite ushetani mwingine

Maneno ya watu nishazoea I don′t care

Kila kukicha choko choko, choko

Unavyonipa raha, ndiyo nanenepa mie

Penzi lako natinga, naringa nabembea

Kinachokufaaa, usisite niambie

Kwako niko radhi hata zege nibebe, machinga nidadishee

Ukiwa karibu na mie, najiona bora

Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma

Uwepo wako we na mie, umetia fora

We ndio dakitari, darling, nikitaka kupona

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza, I do it for love

For love

Unaniweza weza, I do it for love

For love, I do it for love

Unaniweeeza

Abbah