Album Cover Wote

Wote

Harmonize

2

Oh oh oh oh oh oh

B boy

Mwenzako zikianza story za mapenzi

Mfano wakwanza ni wewe

Hadi marafiki zangu wananicheka

Naukumbuka ushenzi tulofanyaga

Mi nawe mwenzako mi nakuonea vibwenga

Hata wakisema maneno

Ni bure maana nyani halionagi kundule

Wanachotaka tuachane uzurure watucheke kikowapi

Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya

Siwez danganya nishamaliza

Kila niliempaga moyo autunze

Basi aliugawanya ona nilihanya ikaniumiza

We unanijali unanivumilia

I wish tuzeeke wote

I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

Yeah mule kuhan

Unanipenda

I wish tuzeeke wote

I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani

Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani

Siwezi peke yangu

Yeah

Mama ukiongeza nitajinenepea

Unavyo nigombeza nakuona una care

Eti hatujapendeza wanatufokea mi

I don′t care ndo nishakolea

Kipofu nishaona mwezi vurugu vurugu siwezi

Leo sinza kesho kinyerezi mara mbezi

Ujana una mengi na mengine na mi nimefanya

Siwez danganya Nishamaliza

Kila niliempaga moyo autunze

Basi aliugawanya ona nilihanya Ikaniumiza

We unanijali unanivumilia

I wish tuzeeke wote

I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

Yeah mule kuhan

Unanipenda

I wish tuzeeke wote

I wish tuzikwe wote mmoja akifa kesho

I wish I wish

I wish I wish

Mapenzi sa ukiondoka nitabaki na Nani

Mapenzi ukibaki nitaondoka na Nani

Siwezi peke yangu

Lagu lain oleh Harmonize