Album Cover Donjo

Donjo

Femi One

6

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Kama huna form chukua mmoja kwa cyberChukua mmoja kwa cyber

(Kaka Empire is the Lifestyle)

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber (RiccoBeatz Mr 808)

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Pamba inabambaga kamfuko kakiwa na doh

Jaba inakamata madoba zikiwa kwa form

Hepi inabambaga manoma zikiwa kwa floor

Reggea inakamata warazi wakiwa mandom

Weka "Dont disturb" kwa mlango

Mbili mbili ya wawili wawili kwa tango

Side yangu ya left watu wako right angle

Mateso ni ya beberu, mateso ni ya mama kambo

Give them tukisepa ju mabanga wako area

Curfew inakatsia sherehe na mamorio

Kesho ni wikendi tunashikisha kisheria

Kila mtu pewa pombe ka chanjo ya polio

Na iende sana (Eeh)

Donjo sherehe inadonjo

Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo

Donjo sherehe inadonjo

Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo

Shilalalala bomb bomb shile

Pedi analala sana mbona anadelay

Kwani hajui Femi niko na form today

Nimepull up na mbogi za Kasa na za Kile

Lakini mbogi moja itarudi home na mkia

Mbogi ingine itarudi na stori za kuskia

Kwani jana kuliendaje mi siwezi kuambia

Mi nikicarry mizinga si watu hukaribia

Ni sherehe tunakula ka huna doh kula vako

Rotejo mi hungojaga nganya noma kwa Sacco

Before nifike Mwiki mi hushika manjiva Sunton

Niko Milan nimepiga ka manzi wa uptown

Na iende sana (Eeh)

Donjo sherehe inadonjo

Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo

Donjo sherehe inadonjo

Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Kama huna form chukua mmoja kwa cyber

Chukua mmoja kwa cyber

Donjo sherehe inadonjo

Donjo, we huoni vile sherehe inadonjo

(ABH SOUND Baby)

Lagu lain oleh Femi One