Album Cover Baba Yangu

Baba Yangu

Fanuel Sedekia

4

Okay twende

Baba yangu wa mbinguni, yanipasa nishukuru

Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu

Baba

(Baba yangu wa mbunguni), yanipasa

(Yanipasa nishukuru) isingekua

(Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Isingekua

Eeh, Baba yangu

(Baba yangu wa mbinguni) yanipasa

Damu yako ya thamani, imeniosha kabisa

Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu

Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu

Baba

(Baba yangu wa mbinguni) yanipasa

(Yanipasa nishukuru) isingekua

(Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Isingekua

(Isingekua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Nasema asante

(Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Ninashukuru

(Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Nakuheshimu

(Isingelikua ni wewe, nisingelipata wokovu)

Nakuabudu

Isingekua ni wewe, ha ha tusingepata wokovu

Haleluya