Album Cover Tawala

Tawala

Ben Cyco

5

Bwana we ni dereva

Endesha na maisha yangu

Chukua na usukani

Bwana tawala

Bwana we ni mchungaji

Ongoza mwana wako

Nishikilie mkono

Bwana tawala

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Gusa, gusa baba ee

Gusa yote yanayonihusu

Tenda, tenda baba eeh

Makuu na miujiza

Jionyeshe Mungu

Ukitenda unatenda maradufu

Pendo lako kamili sio nusu

Bwana ee bwana, unafanya mema

Ukitenda unatenda maradufu

Pendo lako kamili sio nusu

Bwana ee bwana, unafanya mema

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Maisha yangu, kazi yangu

Familia yangu, Bwana tawala

Ndoto yangu, afya yangu

Ndoa yangu, Bwana tawala

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni amani ya moyo wangu

Chaguo la moyo wangu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Wewe ni kila kitu changu

Lagu lain oleh Ben Cyco